The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
Injili ya Marko ni muhtasari wa Mafundisho makuu ya Petro, Mtume! Injili ya Marko inafikia kilele chake katika Fumbo la Msalaba, yaani: mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu ...
Katika mazungumzo ya viongozi hawa wawili wameridhishwa na uhusiano wa kidiplomasia uliopo kati ya nchi ya Belize pamoja na Vatican. Baadaye viongozi hawa wawili wamejielekeza ...
Masomo yanatuelekeza namna ya kukutana na kumtambua Kristo Mfufuka katika adhimisho la sadaka ya Misa Takatifu kwa kusikiliza Neno lake na katika kuumega mkate. Sharti ni kuwa ...
Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika mahojiano maluum na Radio Vatican anasema mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha nchini Tanzania ...