Tafuta

Cookie Policy
The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
I AGREE
Preludio e fuga n. 14 in Fa diesis minore
Ratiba Podcast
2023.02.27: Kanisa  Kuu Katoliki nchini Geita,limepata uharibifu mkubwa na aliyefanya hivyo amekamatwa. 2023.02.27: Kanisa Kuu Katoliki nchini Geita,limepata uharibifu mkubwa na aliyefanya hivyo amekamatwa. 

Tanzania:Kanisa Kuu la Geita kuharibiwa na kufuru ya matakatifu

Uharibifu na kufuru umetokea katika Kanisa Kuu Katoliki la Geita,nchini Tanzania ambapo Askofu Kassala,wa Kanisa hilo alitangaza Dominika tarehe 26 Februari 2023.Wahusika wa tukio hilo baya wako mikononi mwa vyombo vya umma na upelelezi unaendelea.Askofu na waamini wanasikitika kuhusu tendo hilo.

Na Angella Rwezaula;- Vatican.

Usiku wa manane kuamkia Dominika ya Kwanza ya Kwaresima, tarehe 26 Februari 2023, Kanisa Kuu la Geita nchini Tanzania, lilipata uharibifu mkubwa. Taarifa hizo zilitolewa na Askofu Flavian Matindi Kassala wa Jimbo hilo kwa kutuma ujumbe wake kuhusiana na tendo hilo baya ambalo lilioneshwa pia uharibifu huo kwa njia ya video fupi na picha katika Kanisa Kuu na sehemu zake.

Uharibifu  na kufuru katika Kanisa Kuu Katoliki la Geita, Tanzania
Uharibifu na kufuru katika Kanisa Kuu Katoliki la Geita, Tanzania

Kwa mujibu wa Askofu Kassala alifafanua jinsi ya uvunjaji wa lango Kuu la Kanisa lilivyokuwa. Na wakati huo huo mhusika aliyefanya hivyo alisema alivyokamatwa na ameshikiliwa na vyombo vya umma kwa ajili ya upelelezi zaidi.

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu ka Geita limepata mkasa wa kuharibiwa matakatifu
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu ka Geita limepata mkasa wa kuharibiwa matakatifu

Pamoja na hayo kupitia  vyombo vya habari mahalia. (Mwanchi digitali) imefanya mahojiano na Askofu Kasala na kuelezea hali halisi ilivyo na masikitiko ya uharibifu wa vyombo muhimu na vitakatifu katika Kanisa hilo. Vile vile hata maoni ya baadhi ya waamini wa Kanisa Kuu hilo na masikitiko yao, Dominika hiyo hiyo.

Je huyo mtu ni nani na ana makusudi gani?

Tunabaki na mshangao na maswali ya kujiuliza: Je huyo ni nani? Ametumwa na nani? au alikuwa na nani wakati wa tukio hilo bovu? Hakuna kinachoumiza na kushangaza sana kuhusu matukio kama haya mabaya ya kugusa kiungo cha Kikanisa na hasa kuhusiana na mambo matakatifu hasa kwa upande wa wakatoliki!

Tabernakulo ikiwa imevunjwa vunjwa ndani ya Kanisa Kuu Geita nchini Tanzania
Tabernakulo ikiwa imevunjwa vunjwa ndani ya Kanisa Kuu Geita nchini Tanzania
Uharibifu wa Kanisa Kuu Katoliki Geita Tanzania.
27 Februari 2023, 10:22
Prev
March 2025
SuMoTuWeThFrSa
      1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031     
Next
April 2025
SuMoTuWeThFrSa
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930