Hija ya Kitume ya Papa Francisko Cyprus na Ugiriki:matukio mbali mbali kwa video
Papa Francisko katika ziara yake ya kitume alikutana na viongozi wa serikali,vyama vya kiraia na wanadiplomasia,maaskofu,mapadre,watawa na walei.Alizungumza na wahamiaji na wakimbizi,vijana na kusali katika nchi zote mbili Cyprus na Ugiriki.Ni katika ziara yake ya kitume ya 35 kimataifa.Video fupi inaonesha matukio katika nchi mbili tangu kuondoka tarehe 2 Desemba hadi kurudi 6 Desemba.
07 December 2021, 15:16