Miaka 10 ya Upapa,13:Papa Francisko na Kanisa Maskini

Mwaka wa kwanza wa Upapa tayari umejaa maneno na ishara muhimu: amani, ukaribu, umaskini, maeneo ya pembeni. Kuna chaguo la Papa Fransisko kwenda Lampedusa, ushiriki wa kwanza katika Siku ya Vijana Duniani nchini Brazil, na kuna shauku na ushirikiano wa kina na Papa Mstaafu, Upapa tangu kuanzishwa kwake.
13 March 2023, 10:14