Miaka kumi ya Upapa,2015:Papa Francisko na Laudato si’
Utunzaji wa"nyumba ya pamoja"na ulinzi wa wale walio katika mazingira magumu zaidi, ambao huhakikisha "nyumba, kazi na ardhi".Papa Francisko anapitia mwaka mzima wa matukio ambayo yanaacha alama:kutoka kwa kutiwa saini kwa waraka wa Laudato si' hadi safari ya kwenda Cuba,kutoka kwa sala ya hisia huko ‘Ground Zero’ hadi hotuba katika UN
13 March 2023, 10:24