Miaka Kumi ya Upapa,2019:Papa Francisko na Udugu wa Kibinadamu

Kuishi pamoja kama familia moja: kutoka Abu Dhabi,Papa na Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Tayeb wanazindua ujumbe wao kwa ulimwengu ili usambazwe na kukuzwa.Ni mwaka ambao pia Papa anazindua Sinodi inayotolewa dharura za eneo la Amazonia na kuunganisha mchakato wa utakaso na upyashaji wa Kanisa katika suala la ulinzi wa watoto walionyanyaswa.
13 March 2023, 10:44