Tafuta

Dakika moja ya Siku ya Papa Francisko tarehe 5 Agosti huko Lisbon

Katika Ziara ya 42 ya Kitume Nchini Ureno kwenye maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani WYD,Jumamosi 5 Agosti,siku ya Papa imejikita na ziara katika Madhabahu ya Mama Maria,ambapo amesali na wagonjwa na waamini kwa kuombea amani duniani.Siku imehitimishwa kwa mkesha na vijana huko Tejo,Lisbon.
06 August 2023, 01:50