Dakika moja ya siku ya kwanza ya Papa Francisko huko Marsiglia

Video fupi ya Ziara ya 44 ya kitume ya Papa Francisko inaonesha tangu kufika Uwanja wa Kimataifa wa mji wa Ufaransa hadi sala kwa katika Kanisa la Mama Yetu Maria wa Ulinzi akiwa na Makleri, mpadre, watawa kike na kiume, mashemasi wote hata wa kudumu na wake zao, na wale wa wakfu pia, katika Madhabahu ya Mama yetu wa  Ulinzi, kumbu kumbu ya waliomezwa na maji katika miguu ya manara wa ukumbusho wa Mabaharia na wahamiaji waliopotea baharini na vile vile sala na viongozi wa kidini katika msalaba wa kumbukumbu.

22 September 2023, 22:00