Papa Francisko Papa Francisko  (VATICAN MEDIA Divisione Foto)

Papa Francisko,mwaka wa kumi na moja wa upapa wake!

Miezi kumi na miwili,kuanzia tarehe 13 Machi 2023 hadi leo,ikiwa na zaidi ya miito 150 kwa ajili ya Ukraine“iliyoteswa”na zaidi neno la kusitisha mapigano mra 60 katika Mashariki ya Kati,ikiambatana na mwaliko kwa wakuu wa mataifa kufanya juhudi za ubunifu kwa ajili ya amani ya haki na ya kudumu na kwa ujasiri wa mazungumzo,akiongozwa daima na uchungu wa kuona ubinadamu unapitia saa ya giza.

Na Salvatore Cernuzio - Vatican

Ilikuwa ni mwaka mmoja uliopita. Siku alipoadhimisha miaka kumi ya upapa, ambapo Papa alishiriki maumivu yake ya ndani, pamoja na yale ya maelfu ya wanawake na  wamama duniani kote,(un podcast - il primo - con i media vaticani.)katika podikasti ya kwanza  na vyombo vya habari vya Vatican. Wazo hilo lililenga hasa kwa vijana waliokufa chini ya vita vya uchokozi dhidi ya Ukraine ambayo mara zote na mara moja ilifafanuliwa kama kuteswa au, wakati mwingine, kuuawa shahidi. Sio maneno ya kuchosha, kama yalivyochochewa na ukosoaji fulani wa kudhalilisha, lakini wasiwasi unaoendelea juu ya mateso ambayo watu wa Ukraine wameteswa tangu tarehe 24 Februari 2022.  Maumivu ambayo Papa Fransisko alishirikisha  kwa umma kwa ujumla hayajapungua katika miezi hii kumi na mbili ya mwaka wa kumi na moja akiwa katika kiti cha papa, lakini yamezidi kuwa mbaya zaidi katika uso wa matarajio ya kupanuka kwa mzozo barani Ulaya Mashariki - na uwezekano wa kutumwa kwa kundi la askari na tishio la majibu ya nyuklia na hata zaidi tangu Oktoba na mlipuko wa hofu katika Nchi Takatifu, kufuatia shambulio la kigaidi la Hamas na majibu ya kijeshi ya Israeli ambayo yalisababisha karibu vifo elfu 31 katika miezi mitano. Hali nyingine ni ule ya vita vilivyomegeka  vipande vipande ambavyo vinaunda mzozo wa  Vita ya tatu ya ulimwengu vinavyoendelea.

Sala ya kimya na uchungu wa umma

Akiwa amekabiliwa na maumivu haya Mkuu wa Kanisa la Ulimwengu, Papa Francisko, na akiwa na umri wa miaka 87 kati ya Mapapa walioishi kwa muda mrefu zaidi, anasali katika ukimya wa chumba chake, ambapo anaweka sanamu, misalaba na vitu vingine vinavyowakilisha maeneo yaliyojeruhiwa ambayo ndiyowanakotoka na anatoa sauti kwa kila tamko la umma. Zaidi ya miito 130 ambayo Jorge Mario Bergoglio alitoa kuanzia tarehe 13 Machi 2023 hadi leo kwa ajili ya Ukraine, zaidi ya miito 60 kwa ajili ya Mashariki ya Kati na wakazi wa Gaza. Hakuna Sala ya Malaika wa Bwana au Katekesi yake ambayo Papa alishindwa kurejea vita, na kusisitiza ukaribu wake na watu walioathiriwa au kuomba amani na ujasiri wa mazungumzo kama zoezi la hekima ambalo linazuia kuenea kwa masilahi ya wahusika, kulinda matarajio halali ya kila mtu na kukomesha wazimu wa vita.

Amani kwa Ukraine inayoteswa

Wakati mwingine yalikuwa maombi ya nguvu – ambayo alitaka kutamka wakati sauti, japokuwa kwa sababu ya bronchitis au mafua ambayo yalijirudia mara kadhaa katika miezi ya hivi karibuni, lakini hayakuruhusu - au mara nyingi maoni mafupi, kumbukumbu za muda mfupi au kengele za dharura ili kuzuia tabia hiyo kuchukua nafasi au hali ya wasiwasi ambapo hata mchezo wa huo wa  shambulio la kombora shuleni na majumbani unashusha hadhi na kuwa na habari. ” Tumaini la amani ya haki na ya kudumu limekuwa na daima ndio msingi pekee wa maneno ya Papa katika mwaka huu wa kumi na moja wa kiti chake cha upapa, ambacho kinastahili kutazamwa kwa upya katika nyakati za kufafanua upya na kutumia mawazo yake au katika kukabiliana na shutuma dhidi yake, usawa ambao, kama Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican alivyosema, daima imekuwa mtindo wa Vatican.

Wito  kwa Umoja wa Ulaya

Papa hakati tamaa kutafuta amani, akitumaini amani na kuiombea; alisema haya kwa familia za wakimbizi waliofika Italia kupitia  mikondo ya  kibinadamu, waliopokelewa katika mkutano tarehe 18 Machi 2023 (in udienza il 18 marzo dello scorso anno.) Na siku nne baadaye, katika Katekesi yake alikumbuka kitendo cha kuwekwa wakfu kwa Urusi na Ukraine kwa Moyo Safi wa Maria(l’atto di consacrazione di Russia e l’Ucraina al Cuore Immacolato di Maria:)“Tusichoke kukabidhi suala la amani kwa Malkia wa Amani," alihimiza, huku akiomba kufanya upya tendo la kuwekwa wakfu kwa Mama kila Machi 25, “ili Yeye, ambaye ni Mama, atulinde sote kwa umoja na amani.” Papa  Francisko daima ameomba kwamba dhamira ya kiroho iendane na “dhamira ya mshikamano ya kisiasa na kidiplomasia,” kuanzia na Umoja wa Ulaya. Changamoto tata sana, aliakisi katika Mkutano wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu wa Ulaya (udienza alla Comece) kwa vile nchi za Umoja wa Ulaya “zinashiriki katika mashirikiano mengi, maslahi, mikakati, mfululizo wa nguvu ambazo ni vigumu kuunganishwa kuwa mpango mmoja” dhidi ya vita ambayo, alisisitiza katika tukio hilo hilo, “haiwezi na haipaswi kuzingatiwa tena kama mpango mmoja wa utatuzi wa migogoro.”

Ujumbe wa ‘Pacem in terris’

Maneno yalisemwa katika baraka ya Pasaka ya Urbi et Orbi, (Urbi et Orbi di Pasqua,)ikiambatana na ombi kwamba Mungu afungue mioyo ya jumuiya nzima ya kimataifa kufanya kazi ya kukomesha “migogoro yote iliyomwaga damu duniani.” Papa Francisko pia alihutubia wakuu wa mataifa katika maadhimisho ya miaka 60 ya Waraka wa Pacem in Terris wa Mtakatifu Yohane XXIII (11 Aprili 2023), akiwataka wahamasishwe katika mpango na maamuzi ya Waraka huo unaoelekezwa kwa Kanisa na Ulimwenguni kote katikati ya mvutano kati ya kambi mbili za Vita Baridi. Ujumbe, ule wa Papa Roncalli, ulikuja kwa wakati ufaao, kama inavyoonekana katika kifungu hiki: “Mahusiano kati ya jumuiya za kisiasa, kama yale kati ya binadamu mmoja mmoja, lazima yadhibitiwe si kwa kutumia nguvu za silaha, bali katika mwanga wa akili hiyo ni kweli, katika haki, katika mshikamano tendaji.”

Juhudi za ubunifu za amani

“Ziko wapi juhudi za ubunifu kwa ajili ya amani?” Papa aliuliza swali huko Hungaria, nchi ambayo imekuwa kimbilio la maelfu ya wakimbizi wa Ukraine, wakati wa hotuba yake kwa mamlaka ya kiraia na kisiasa wakati wa ziara yake ya kitume (il discorso alle autorità civili e politiche)mnamo Aprili 2023. “Katika ulimwengu tunamoishi, hata hivyo, shauku ya siasa za jumuiya na ushirikiano wa pande nyingi inaonekana kama kumbukumbu nzuri ya siku za nyuma: inaonekana kama tunashuhudia kuzorota kwa kusikitisha kwa ndoto ya amani ya kwaya, huku waimbaji wa vita wakitoa nafasi.” Sio tu malalamiko bali pia mitazamo kutoka kwa Papa ambaye, katika safari ya kurudi kutoka Budapest,akiwa kwenye ndage (sul volo di ritorno da Budapest,)aliwaambia waandishi wa habari: “Ninaamini kwamba amani daima hufanywa kwa kufungua njia, amani haiwezi kufanywa kwa kuzifunga. Ninawaalika kila mtu kufungua mahusiano na njia za urafiki. Hii si rahisi. Kila mtu anavutiwa na njia ya amani.” “Niko tayari, niko tayari kufanya kila linalohitajika kufanywa”, aliongeza Papa, akitarajia kuanza kwa utume ambao baadaye ungekuw Kadinali Matteo Maria Zuppi kama mjumbe wake huko( KyivMoscaWashington e Pechino.)Kyiv, Moscow, Washington na Beijing.

Ulimwengu usio na chuki na bila silaha

Utume ambao ulijitokeza wakati wa maendeleo yake yenyewe,(missione)ule wa Kardinali Zuppi, ukizingatia hamu ya Papa ya juhudi pia ya “ubunifu.”  “Katika bahari ya historia, tunasafiri katika eneo la dhoruba na tunahisi ukosefu wa njia za ujasiri za amani. Kuangalia Ulaya kwa mapenzi ya dhati, katika roho ya mazungumzo ambayo ni sifa yake, mtu anaweza kuuliza: unasafiri kuelekea wapi, ikiwa hautoi njia za amani, njia za ubunifu za kukomesha vita huko Ukraine na mizozo mingi iliyosababisha umwagaji damu ulimwenguni?”, aliuliza Papa Francisko katika hotuba yake ya kwanza kwa mamlaka huko Lisbon, (discorso alle autorità a Lisbona ), wakati wa Ziara yake Ureno kwa ajili ya Siku ya Vijana Duniani( WYD) ambapo alikutana na vijana milioni moja na nusu. Wale ambao, alisisitiza katika Katekesi ya Jumatano iliyofuata,( udienza generale del mercoledì successivo,)“wameonyesha kila mtu kwamba ulimwengu mwingine unawezekana: ulimwengu wa kaka na dada, ambapo bendera za watu wote huruka pamoja, moja karibu na nyingine, bila chuki, bila chuki hofu, bila kufungwa, bila silaha.”

Saa ya giza ya historia

Ndoto, hii ya Papa, iliyojaribiwa na matukio ya tarehe 7 Oktoba. Uso wake ulikuwa wa giza na sauti yake ilikasirika wakati Papa, katika sala ya Malaika wa Malaika siku moja baada ya mashambulizi ya Hamas, tarehe 8 Oktoba, (’Angelus il giorno dopo gli attentati di Hamas, l’8 ottobre)alichukizwa na ghasia ambazo “zililipuka hata zaidi” katika Israeli na kutoka kwenye dirisha la Jumba la Kitume alisema: “Tafadhali acha mashambulio na silaha na uelewe kwamba ugaidi na vita hazileti suluhisho lolote, lakini tu kwa kifo na mateso ya watu wengi wasio na hatia. Vita ni kushindwa: kila vita ni kushindwa!

Siku zote  vita ni kushindwa

“Vita ni kushindwa,” hii pia ni kama litania ya mara kwa mara ya miezi hii ya mwisho ya upapa. Kwa wengine, usemi ambao labda ni wanauona kama wa kijinga sana, lakini tunawezaje kufafanua vifo vingi vya maelfu ya raia wetu, mara nyingi raia wasio na hatia, kama “ushindi”? “Janga la kibinadamu: hivi ndivyo Papa tayari alivyofafanua hali ya Gaza, chini ya siku kumi baada ya jibu la silaha la Israeli. Tunyamazishe bunduki! Kilio cha amani cha watu, cha watu, cha watoto kisikike! Kaka  na dada, vita haisuluhishi shida yoyote, inapanda  kifo tu na uharibifu, huongeza chuki na kuzidisha kisasi. Vita hufuta wakati ujao

Saa ya giza ya historia

Ushauri ulifunga Katekesi ya  tarehe 18 Oktoba,(udienza generale del 18 ottobre,) ambapo Papa Francisko alitangaza siku ya kufunga na kuomba mnamo tarehe 27 Oktoba katika Kanisa la Mtakatifu Petro. Wakati wa sala na toba katika “saa ya giza ya historia.” Saa ambayo inaonekana kudumu karne na giza ambalo linafunika maelfu ya watu, kuchukuliwa kutoka katika nchi zao, nyumba au maisha yenyewe. “Hapana” ndio jibu pekee. “Kusema hapana kwa vita, kwa kila vita, kwa mantiki ya vita, safari isiyo na marudio, kushindwa bila washindi, wazimu bila visingizio, Papa alitangaza katika Urbi et Orbi ya Noeli (Urbi et Orbi di Natale.): "Wananchi, ambao hawataki silaha bali mkate, wanaohangaika kusonga mbele na kuomba amani, hawajui ni kiasi gani cha fedha za umma kinachotengwa kwa silaha. Hata hivyo anapaswa kujua! Wacha tuzungumze juu yake, tuandike juu yake, ili tujue masilahi na faida zinazosonga nyuzi za vita."

Ujasiri wa mazungumzo

Na hii “hapana” lazima iendane na hatua madhubuti. Papa Francisko alipendekeza hilo katika hotuba yake kwa Baraza la Wanadiplomasia lililoidhinishwa kwa Mjini Vatican( discorso al Corpo diplomatico accreditato presso la Santa Sede): “Mgogoro ambao unazidi kuwa wa genge hauwezi kuruhusiwa kuendelea, kwa madhara ya mamilioni ya watu, lakini janga linaloendelea lazima likomeshwe kupitia mazungumzo, kwa kufuata sheria za kimataifa.”

13 March 2024, 16:20