Tafuta

Garrone na waigizaji wake mjini Vatican mtazamo wa Papa kuelekea wadogo

Mkurugenzi wa filamu "Mimi Kapteni"amezungumzia mkutano wa waigizaji na Papa na uzoefu wa kufanya kazi na waigizaji:"Mara nyingi nilihisi kama mvamizi lakini nilielewa kuwa njia bora ilikuwa kuwapa sauti".Kubadilishana mawazo umekuwa ni uthibitisho wa mawasiliano kati ya mtazamo wa Papa kwa wahamiaji na roho ambayo filamu inaonesha.
17 September 2023, 12:20