Tafuta

Cookie Policy
The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
I AGREE
MASIFU YA ASUBUHI KWA KILATINI
Ratiba Podcast

Video na sauti kuhusu Barua ya Watu wa Mungu ya Sinodi

Sekretarieti Kuu ya Sinodi imetoa toleo kwa vyombo vya habari juu ya "Barua kwa Watu wa Mungu" kutoka katika Mkutano Mkuu wa 16 wa Kawaida wa Sinodi ya Maaskofu.

Na Angella Rwezaula, - Vatican.

Vyombo vya habari kupitia Toleo la  kwanza la  Waraka kwa Watu wa Mungu kutoka katika Mkutano Mkuu wa XVI wa Kawaida wa Sinodi ya Maaskofu ( Letter to the People of God) limetolewa ili kukamilisha maandishi ya washiriki wa Sinodi. Katika Barua hiyo inatoa shukrani kwa uzoefu wa Sinodi, ikieleza kwa kina juu ya  kazi yao katika wiki chache zilizopita na kueleza matumaini kwamba kila mtu ataweza "kushiriki kikamilifu katika maenendo ya ushirika wa kimisionari unaooneshwa na neno 'Sinodi'".

Barua hiyo pia inapatikana kwenye tovuti ya Sinodi( Synod website)katika lugha nyingi zaidi. Lakini pia unaweza kusona na kusikiliza kwa lugha ya kiswahili:https://www.vaticannews.va/sw/vatican-city/news/2023-10/waraka-sinodi-xvi-maaskofu-kwa-watu-mungu-oktoba-2023.html

Barua ya Watu wa Mungu kutoka katika sinodi ya 16 ya maaskofu kuwekwa kwenye mtandao
20 Novemba 2023, 16:42
Prev
February 2025
SuMoTuWeThFrSa
      1
2345678
9101112131415
16171819202122
232425262728 
Next
March 2025
SuMoTuWeThFrSa
      1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031