Uteuzi wa mjumbe na mshauri wa Baraza la Kipapa la Utamaduni na Elimu
Jumamosi tarehe 16 Machi 2024,Baba Mtakatifu Francisko amemteua mjumbe wa Baraza la Kipapa la Utamaduni na Elimu, na Blase Joseph Cupich,Askofu Mkuu wa Chicago,Marekani. Na Wakati huo huo amemteua Mshauri wa Baraza hilo Profesa Antonella Sciarrone Alibrandi,Jaji wa Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Italia.
16 March 2024, 17:30