Tafuta

Papa Francisko amemteua Balozi wa Vatican nchini Namibia na Eswatini. Papa Francisko amemteua Balozi wa Vatican nchini Namibia na Eswatini. 

Papa amemteua Balozi wa Vatican nchini Namibia na Eswatini

Baba Mtakatifu Francisko tarehe 19 Julai amemteua Balozi wa Vatican nchini Namibia na Eswatini,Askofu Mkuu Henryk Mieczysław Jagodziński,Askofu wa Kanisa la Limosano.Hadi uteuzi huo ni Balozi wa Vatican nchini Afrika Kusini na Lesotho.
19 July 2024, 16:59