Kushoto ni Askofu Mkuu Henryk Mieczysław Jagodziński,Balozi wa  Vatican nchini Afrika Kusini,Lesotho,ESwatini na sasa Botswana. Kushoto ni Askofu Mkuu Henryk Mieczysław Jagodziński,Balozi wa Vatican nchini Afrika Kusini,Lesotho,ESwatini na sasa Botswana. 

Papa amemteua Balozi wa Vatican nchini Botswana

Jumanne tarehe 20 Agosti 2024,Baba Mtakatifu Francisko amemteua Balozi wa Vatican nchini Botswana, Askofu Mkuu Henryk Mieczysław Jagodziński, wa kanisa la Limosano, ambaye hadi uteuzi huo ni Balozi wa Vatican nchini Afrika Kusini, Lesotho,Namibia na Eswatini.
20 August 2024, 16:40