Tafuta

Jubilei ya Matumaini:tarehe 24 Desemba utafunguliwa Mlango Mtakatifu

Zimesalia siku chache kufunguliwa kwa Mlango Mtakatifu wa Basilika ya Mtakatifu Petro tarehe 24 Desemba mjini Vatican,unaoashiria mwanzo wa Mwaka Mtakatifu wa 2025,wakati wa uwongofu na neema ya kufufua matumaini katika hija ya maisha ya kila siku na kutangaza Injili.

Fuatilia Habari za Vatican na Radio Varican katika ufunguzi wa Mlango Mtakatifu tarehe 24 Desemba saa 1.00 kamili za jioni(masaa ya Roma) na katika matukio yote ya mwaka Mtakatifu 2025 kupitia chaneli yetu ya Youtube au Facebook,mbashara.

02 December 2024, 09:30