The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
Bikira Maria ni mfano bora wa kuigwa katika mapambano ya maisha ya kiroho; Ni Sanduku la Agano Jipya, Mlango wa huruma ya Mungu; Nyota angavu ya asubuhi na Mama wa mchakato wa ...
Katika mahubiri yake Padre Tumaini Ngonyani Litereku alikazia umuhimu wa kuwa na moyo wa shukrani, furaha na unyenyekevu na kwamba, Padre awe ni sababu ya furaha ya watu wa Mungu, ...
Kardinali Protase Rugambwa tarehe 2 Mei 2024 anatarajiwa kutoa Daraja takatifu la ushemasi kwa: Frt. Abel Paul Luhende, Frt. Clement Mathew Masuhuko, Frt. Emmanuel Joseph ...
UNESCO kwa kushirikiana na Shirikisho la Waandishi wa Habari Duniani, IFJ wametoa ripoti yao ikionesha kwamba, katika kipindi cha miaka 15 iliyopita waandishi wa habari 44 waliuawa ...