Papa amemteua Balozi wa Vatican nchini Botswana
Jumanne tarehe 20 Agosti 2024,Baba Mtakatifu Francisko amemteua Balozi wa Vatican nchini Botswana, Askofu Mkuu Henryk Mieczysław Jagodziński, wa kanisa la Limosano, ambaye hadi uteuzi huo ni Balozi wa Vatican nchini Afrika Kusini, Lesotho,Namibia na Eswatini.
20 August 2024, 16:40