The portal Vatican News uses technical or similar cookies to make navigation easier and guarantee the use of the services. Furthermore, technical and analysis cookies from third parties may be used. If you want to know more click here. By closing this banner you consent to the use of cookies.
Familia ni Kanisa dogo la nyumbani, shule ya upendo, huruma, haki na ukarimu. Ni mahali patakatifu ambapo tunu msingi za maisha ya kiroho, kiutu na kitamaduni zinatangazwa, ...
Papa Francisko amefungua Lango kuu la Gereza la Rebibbia na baadaye kuadhimisha Ibada ya Misa Takatifu na wafungwa pamoja na askari magereza na viongozi wapatao mia tatu. Papa ...
Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake amekazia kuhusu Habari Njema ya Wokovu, yaani kuzaliwa kwa Mwokozi, ndiye Kristo Bwana. Wachungaji wanashangazwa na kundi kubwa la ...
Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Tanzania, WAWATA imebainisha vipaumbele vyake kuwa ni: Malezi ya kifamilia ili kuunda jamii inayosimikwa katika maadili na tunu msingi za maisha ya ...
Hati hii ni muhtasari wa safari nzima ya Maadhimisho haya iliyowahusisha watu wa mungu katika ujumla wao kwa kutambua kwamba, kiini cha Sinodi kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2024 ...
Papa Francisko, Alhamisi tarehe 24 Oktoba 2024 amechapisha Waraka wa Kitume: "Dilexit nos” yaani “Alitupenda” Waraka wa Kitume juu ya upendo wa kibinadamu na wa Kimungu wa Moyo ...
Askofu mkuu Damian Dennis Dallu aliteuliwa kuyaongoza Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari nchini Tanzania mwaka 2009 hadi mwaka 2024. Anakumbukwa sana kwa kuhimiza nafasi ya sala ...
Mwenyeheri Yosefu Allamano aliishi miaka 75 ya neema na ari kubwa ya kimisionari, bila mipaka, akiamini kwa dhati “kwanza utakatifu kisha umisionari” tunayemkumbuka kama Baba, ...
Katika tukio la Juma la XXIV la Lugha ya Kiitaliano Duniani,Ubalozi wa Italia mjini Vatican kwa kushirikiana na Cortile dei Gentili,uliandaa hafla ya kina ya maadhimisho ya miaka ...
Uhuru wa ndani unamtaka mwamini ajinasue kutoka katika mambo na tabia ambazo zinakwenda kinyume na nidhamu ya maisha ya kiroho. Ni changamoto ya kuwa ni mtu wa kiasi, mwenye ...
Masomo ya dominika ya 27 ya Mwaka B wa Kanisa ni Katekesi inayohusu asili yetu sisi wanadamu, asili ya maisha ya ndoa na familia kadiri ya mpango wa Mungu. Ndivyo unavyoashiria ...
Papa alikutana washiriki wa mrpango wa Walinzi wa Uzuri unaohamashwana Baraza la Maaskofu Italia(CEI)ulioundwa kulinda hadhi ya vikundi dhaifu vya kijamii:'katika muktadha ambao ...
Baba Mtakatifu katika hotuba yake alikazia umuhimu wa kuwa ni: Mashuhuda, Kamwe wasiogope na wawe na matumaini pasi na kuchoka wala kujikatia tamaa. Baba Mtakatifu anawaalika ...
Jubilei ya Miaka 600 tangu kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Louvain nchini Ubelgiji. Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake, amegusia dhamana na wajibu wa Chuo ...
Papa katika hotuba yake wa viongozi wa Serikali, Wanadiplomasia na wawakilishi wa vyama vya kiraia: Amegusia kuhusu mafanikio makubwa ya kiuchumi kwa kujikita katika haki jamii, ...
Mnamo Mosi Septemba iliyopita mji wa Mtakatifu Francis wa Assisi ulikuwa mwenyeji wa Siku ya Dunia ya Maombi na mada,mahali pa kuanzia kwa kipindi kitakachodumu hadi tarehe 4 ...
Baba Mtakatifu yuko nchini Timor ya Mashariki kuanzia tarehe 9 hadi 11 Septemba 2024 Tarehe 9 Septemba 2024 amepata nafasi ya kukutana na kuzungumza na viongozi wa Serikali, ...
Papa katika Nia zake za jumla kwa Mwenyezi Septemba 2024 anawaalika waamini “Kusikiliza Kilio cha Dunia Mama Iliyojeruhiwa.” Kuna kilio cha maskini wanaoathirika kutokana na ...
Papa Francisko kuanzia tarehe 2 hadi 13 Septemba 2024 anafanya Hija ya 45 ya Kitume Barani Asia kwa kutembelea Indonesia, Papua New Guinea, Timor ya Mashariki na hatimaye, ...
Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni mwili na roho, Alhamisi tarehe 15 Agosti 2024 kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu ...
Papa Francisko hivi alikutana na watoto zaidi ya 200 kutoka katika Parokia ya “Santa Bernadette Soubirous." Huu ulikuwa ni muda wa katekesi kuhusu maisha ya sala, kama sehemu ya ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 12 Agosti 2024 amekutana na kuzungumza na Profesa Elena Beccalli, Gambera wa Chuo Kikuu Cha Kikatoliki cha Moyo Mtakatifu wa Yesu Jimbo ...
Kardinali Andrew Soo-jung Yeom, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Seoul, katika mahubiri yake, amewataka vijana kujisikia kuwa ni wahusika wakuu katika mchakato wa uinjilishaji mpya ...
Waraka Kuhusu Dhamana ya Fasihi Katika Majiundo ya Mapadre. Walengwa wakuu ni: Majandokasisi, mawakala wa malezi na majiundo ya shughuli za kichungaji na hatimaye, ni waamini wote ...
Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katokiki Afrika na Madagascar, SECAM ni matunda ya maadhimisho ya Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican, uliowahamasisha Maaskofu kutoka Barani Afrika ...
Lengo ni kukuza na kudumisha dhamana, utu, heshima na tunu msingi za maisha zinazoiwezesha jamii kutekeleza mafao ya wengi. Kumbe, utekelezaji makini wa siasa safi ni changamoto ...
Mafundisho Jamii ya Kanisa yanapata chimbuko lake mintarafu kanuni na muundo wa elimu fahamu, taalimungu maadili ambayo ni dira ya maisha ya watu. Yanachota amana na utajiri wake ...
Teknolojia ya akili mnemba inaweka mbele ya Jumuiya ya Kimataifa changamoto pevu hasa katika kipindi hiki cha maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia. Nafasi ya binadamu katika ...
Papa anakazia ukuhani wa waamini wote; umuhimu wa waamini kushiriki kikamilifu Sakramenti za Kanisa; Majadiliano ya kidini, kiekumene na kitamaduni; ari na mwamko wa kimisionari ...
VIPAUMBELE 2023-2027: WUCWO itaimarisha, kuendeleza na kupanua Mradi wa Uangalizi wa Masuala ya Unyanyasaji kupitia mradi wa WWO; Itatetea Uhuru wa kidini: msingi wa njia ya udugu ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa maadhimisho ya Siku ya 103 ya Waamini Wakatoliki nchini Ujerumani, “Katholikentag” anakazia kuhusu umuhimu wa waamini Wakatoliki ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu amekutana na kuzungumza na Monaki wa Kibudha. Katika hotuba yake amekazia umuhimu wa kujenga na kudumisha mahusiano na mafungamano ya kijamii; ...
Fumbo la Utatu Mtakatifu sana ndilo Fumbo la Msingi la imani na la maisha ya Kikristo. Ni Fumbo la Mungu ndani yake mwenyewe. Kwa hivyo ni chemchemi ya mafumbo mengine yote ya ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Maadhimisho ya Siku ya Kwanza ya Watoto Ulimwenguni kwa Mwaka 2024 anawakumbusha watoto kwamba, wao wana thamani kubwa sana machoni ...
Baba Mtakatifu Francisko katika hotuba yake amejikita katika mambo makuu matatu: yaani kazi zenye staha pamoja na viwanda vya uziduaji, ili viweze kuwa na manufaa kwa nchi ambazo ...
Kristo Yesu ndiye mzabibu wa kweli na waamini ni matawi yake na Mwenyezi Mungu, Baba mwenye huruma ndiye mkulima anayeifanya kazi hii kwa uvumilivu mkubwa, changamoto na mwaliko ...
Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika mahojiano maluum na Radio Vatican anasema mvua kubwa zinazoendelea kunyeesha nchini Tanzania ...
Chama cha Skauti ya Wakatoliki wa Italia, MASCI, kinaadhimisha kumbukizi ya Miaka 70 tangu kuasisiwa kwake kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Maisha zaidi kwa ajili ya maisha”: “Più ...
Alhamisi tarehe 4 Aprili 2024 Viongozi Wakuu wa Dini Duniani na Dini za Jadi wamekutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko mjini Vatican. Katika hotuba yake, Baba Mtakatifu ...
Baraza la Maaskofu Katoliki Brazil, CNBB, kuanzia tarehe 20-22 Machi 2024 huko Brasilia wameadhimisha Juma la Sita la Kijamii Nchini Brazil “Semana Social Brasileira” kwa ...
Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa Maaskofu hawa anakazia kuhusu: Wakimbizi na wahamiaji Amerika ya Kati; Ukarimu kwa wakimbizi na wahamiaji, Shughuli za kichungaji ...
Ni katika maadhimisho ya Sherehe ya Mt. Yosefu, Mume wake Bikira Maria, tarehe 19 Machi 2013, Baba Mtakatifu Francisko aliposimikwa rasmi kuwa Khalifa wa Mtakatifu Petro wa 266 kwa ...
Baba Mtakatifu Francisko kwa namna ya pekee, anapenda kuyakumbuka matukio makuu matatu katika maisha na utume wa Mtakatifu Thoma wa Akwino: Miaka 700 tangu alipotangazwa kuwa ni ...
Takrima: Umuhimu wa kutoa msaada kwa Makanisa bila kutarajia malipo yoyote, kwani Mungu ndiye mtoaji na binadamu ni msimamizi tu wa bidhaa inayotolewa, changamoto na mwaliko wa ...
Kimsingi hii ndiyo dhamana na jukumu ambalo Shirika la Masista la Dada Wadogo wa Mtakatifu Francisko wa Assisi, Jimbo kuu la Dar es Salam waliyojitwaliwa kwa kuzindua Shule ya ...
Mama Evaline Malisa Ntenga Mjumbe wa Bodi ya Umoja wa Wanawake Wakatoliki Duniani, Rais wa WUCWO” Afrika na Mwenyekiti wa WAWATA, Taifa, katika makala hii anapembua kwa kina na ...
Baba Mtakatifu Francisko, Dominika, tarehe 18 Februari 2024 wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, ameyaelekeza macho na mawazo yake katika Jimbo la Cabo Delgado mji mkuu wa Pemba, ...
Kumbukizi ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa Siku ya Kimataifa ya Sala na Tafakari katika mapambano dhidi ya biashara haramu ya binadamu tarehe 8 Febuari 2024 kwa utashi na busara za ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatatu tarehe 22 Januari 2024 amekutana na kuzungumza na washiriki wa Kongamano la Divai lililoandaliwa na Makampuni ya Vinitaly. Hawa ni wakulima na ...
Kardinali Marcello Semeraro, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Kuwatangaza wenyeheri na watakatifu katika mahubiri yake amekazia kuhusu: Umuhimu wa kutangaza na kushuhudia Habari ...
Balozi Georgios F. Poulides, Dekano wa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa mjini Vatican yapatayo 184 kutoka Cyprus katika hotuba kwa Baba Mtakatifu Francisko kama ...
Wanafunzi Wakatoliki kutoka vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania wanaadhimisha Kongamano la 15 la Kitaifa linalofanyika Kitaifa katika Jimbo Kuu Katoliki Mwanza ...
Baba Mtakatifu Francisko anasema, vita Ukanda wa Gaza imepelekea watoto elfu tatu kupoteza maisha yao. Nchini Ukraine kuna watoto zaidi ya mia tano na huko nchini Yemen, kuna ...
Miongoni mwa mada zilizojitokeza katika hotuba za viongozi wa dunia katika Cop28,moja inayopata msukumo mkubwa kutoka kwa maneno ya Papa ni ile ya uwajibikaji wa kimaadili wa nchi ...
Baba Mtakatifu Francisko anafanya kumbukizi ya Miaka 54 tangu alipopewa Daraja Takatifu ya Upadre hapo tarehe 13 Desemba 1969, Siku ambayo Mama Kanisa anaadhimisha Kumbukumbu ya ...
Kardinali Pietro Parolin anaelezea kuhusu matumaini ya Papa katika mkutano wa COP28, Mkataba wa COP21 uliofanyika mjini Paris; Vita kati ya Israeli na Palestina; Urusi na Ukraine ...
Baba Mtakatifu Francisko, kuanzia tarehe 1 Desemba hadi tarehe 3 Desemba alitarajia kwenda Dubai, Falme za Kiarabu ili kushirikishi katika Mkutano wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa ...
Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, Sherehe ya Kristo Yesu Mfalme wa Ulimwengu aliwaambia vijana kwamba, anapenda kuwakumbatia vijana kwa maisha ya sasa na ...
Mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge yamenogeshwa na kauli mbiu “Utafiti na Ubunifu kwa Maendeleo ya Taifa” na mgeni rasmi alikuwa ni Askofu Flavian Matindi Kassala ...
Papa Francisko amesema, tarehe 1 Desemba hadi tarehe 3 Desemba atakuwa Dubai, Falme za Kiarabu ili kushirikishi katika Mkutano wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya ...
Baba Mtakatifu, Jumatatu tarehe 27 Novemba 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Santiago Peña Palacios wa Paraguay ambaye baadaye amekutana na kuzungumza na Kardinali ...
Baba Mtakatifu Francisko anawashukuru wale wote waliojiunga na Jukwaa la Kazi la Laudato ambalo kwa sasa limeingia katika mwaka wake wa pili. Amewaalika waamini pamoja na watu wote ...
Mahojiano: Vita kati ya Israeli na Palestina; Uraibu wa vita na chuki dhidi ya Wayahudi; Vita kati ya Urusi na Ukraine; Wimbi kubwa la wahamiaji; Dhamana na utume wa wanawake ...
Baba Mtakatifu Francisko amekubali mwaliko uliotolewa kwake na Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan wa Falme za Kiarabu. Kumbe, Baba Mtakatifu ametia nia ya kwenda na kushiriki ...
Papa katika ujumbe aliomwandikia Dr. Qu Dongyu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa anakazia mambo makuu yafuatayo: mateso na mahangaiko ya watu ...
Waraka wa Kitume wa “Laudate Deum” yaani “Asifiwe Mungu Kwa Ajili ya Viumbe Vyake Vyote” unakita ujumbe wake juu ya athari za mabadiliko ya tabianchi duniani; Uharibifu na hatari ...
Baba Mtakatifu katika ujumbe wake uliosomwa kwenye mkutano huu, amejikita zaidi katika Uchumi kama mchakato, uchumi na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote, nafasi ya wanawake ...
Papa amewapongeza wajumbe wote kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 800 tangu kuanzishwa kwa Udugu wao, Siku ambayo Kanisa linaadhimisha pia Sikukuu ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu, ...
Jina la Waraka Mpya wa kitume wa Papa ni“Laudate Deum.Papa mwenyewe alisema hayo alipokuwa akihutubia washiriki wa mkutano wa wakuu wa vyuo vikuu vya Amerika ya Kusini siku ya ...
Siku ya kuombea viumbe ni siku yenye tabia ya kiekumeni kwa sababu ya kuadhimishwa pamoja na Kanisa la kiorthodox.Siku hii ndiyo mwanzo wa kipindi kiitwacho cha kazi ya Uumbaji ...
Kardinali Pietro Parolin, Katibu mkuu wa Vatican, Jumamosi tarehe 12 Agosti 2023 amemweka wakfu Monsinyo Germano Penemote kuwa Askofu mkuu na Balozi wa Vatican nchini Pakistan. ...
Baraza la Makanisa Ukanda wa Amazonia, kuanzia tarehe 8 hadi 11 Agosti 2023 linaadhimisha mkutano ambao pamoja na mambo mengine, ulipania kuweka mbinu mkakati wa kuhifadhi msitu wa ...
Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Ujumbe wa Siku ya Kuombea Amani Duniani tarehe Mosi Januari 2024 unogeshwe na kauli mbiu “Akili Bandia na Amani.” Baba Mtakatifu ...
Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 3 Agosti 2023 alifungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya 37 ya Vijana Ulimwenguni kwa kuwakaribisha vijana kutoka sehemu mbalimbali za dunia ...
Kongamano la Tano la Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Kitaifa limeadhimishwa Jimboni Kondoa kuanzia tarehe 22-26 Juni 2023 kwa kunogeshwa na kauli mbiu “Ushirika na utunzaji wa ...
Mama Evaline Malisa Ntenga, Mwenyekiti wa WAWATA Taifa katika makala hii, anatoa muhtasari wa semina iliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mkutano Mkuu wa 44 wa Kitaifa uliofanyika ...
Mkutano Mkuu wa 44 wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Tanzania, WAWATA Taifa, kuanzia tarehe 9 hadi tarehe 11 Juni 2023 katika hotuba yake amekazia kuhusu: Lengo msingi ...
Mama Kanisa anatufundisha kuwa Utatu Mtakatifu ni fumbo la imani kuwa katika Mungu mmoja kuna Nafsi Tatu zisizogawanyika katu yaani Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho. Hizi ...
Mama Evaline Malisa Ntenga, Mjumbe wa Bodi Umoja wa Wanawake Wakatoliki Duniani na Rais wa WUCWO Afrika, ambaye pia ni Mwenyekiti wa WAWATA, Taifa, nchini Tanzania katika makala ...
Baba Mtakatifu Francisko katika dibaji ya kitabu anasema, Kitabu hiki kinatoa imani na matumaini, dhamana na wajibu wa vijana wa kizazi kipya; umuhimu wa kufanya mabadiliko katika ...
Askofu Simon Chibuga Masondole wa Jimbo Katoliki la Bunda, Tanzania, hivi karibuni amezindua Kampeni ya Mbio za Mama Bikira Maria kwa mwaka 2023 kitaifa maarufu kama “MARIATHON” ...
Mei Mosi ya kila Mwaka, Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. Kanisa katika huruma na upendo wake ili apate kuwalinda na kuwatuliza wafanyakazi duniani, ...
Viongozi wa kidini na kisiasa wanapaswa kujizatiti vyema kulinda na kutunza mazingira nyumba ya wote, kwani mazingira ni sehemu muhimu sana ya kazi ya uumbaji, kumbe kwa viongozi ...
Patriaki Bartolomeo wa kwanza wa Kanisa la Kiorthodox la Costantinopoli, katika tafakari yake ya Sherehe ya Pasaka anagusia: Mateso ya Ijumaa Kuu na Furaha ya Ufufuko wa Bwana, ...
Katika Maadhimisho ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Maji kwa Mwaka 2023 ambao umefunguliwa rasmi tarehe 22 Machi, Siku ya Maji Duniani kwa Mwaka 2023 huko New York, Marekani, Baba ...
Ni katika maadhimisho ya Sikukuu ya Mtakatifu Yosefu, tarehe 19 Machi 2013, Baba Mtakatifu Francisko aliposimikwa rasmi kuwa Khalifa wa Mtakatifu Petro wa 266 kwa kuchagua jina la ...
Liturujia ya Neno la Mungu Dominika ya IV ya Kipindi cha Kwaresima Mwaka A wa Kanisa, waamini wanaalikwa kutafakari Fumbo la mateso katika maisha ya mwanadamu; upofu wa maisha ya ...
Dominika ya Nne ya Kipindi cha Kwaresima ni dominika ambayo inafahamika pia kama dominika ya furaha. Maneno ya wimbo wa mwanzo katika dominika hii ndiyo yanayodokeza furaha hiyo ...
Katika ujumbe uliotiwa saini na Kardinali Parolin katibu wa Vatican katika fursa ya mkutano kuhusu Bahari Yetu,uliohitimishwa hivi karibuni katika Jiji la Panama,Papa Francisko ...
Katika hotuba yake, Baba Mtakatifu Francisko ameupongeza Mfuko huu kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha Miaka 75 iliyopita na kwamba, ni filamu inatoa fursa kwa ...
Papa amekazia kuhusu: Utume wa Wayesuit, Jubilei ya Miaka 1700 ya Kanuni ya Imani ya Nicea, Nadhiri ya Utii wa Wayesuit kwa Khalifa wa Mtakatifu Petro, Wito na Utume wa Khalifa wa ...
Idadi ya watu waliozama katika maelekeo ya shauku ya jinsia ya aina ileile sio ya kupuuzia. Hawayachagui maelekeo haya na kwa walio wengi ni swala la kujaribu. Uhusiano nao wapaswa ...
Papa Mstaafu Benedikto XVI: Katekisimu iliidhinishwa kwa Waraka wa Mtakatifu Yohane wa Pili: “Fidei depositum” yaani “Amana ya Imani” uliosindikiza kuchapishwa kwa Katekisimu ya ...
Chuo cha Ufundi Mgongo ni Chuo kinachoendeshwa na kusimamiwa na Wamisionari wa Consolata na kiko Jimbo Katoliki la Iringa, Tanzania. Chuo kinapokea vijana walio maliza kidato cha ...
Papa Francisko amejipambanua kuwa ni: Mtetezi wa haki na amani; kwa kuendelea kusimama kidete katika mchakato mzima wa uinjilishaji na utamadunisho kama sehemu ya ujenzi wa Kanisa ...
Mkazo ni kuhusu: Mchakato wa ujenzi wa: Umoja, mshikamano na ushirikiano kati ya watu wa Mataifa, kwa ajili ya kujenga na kudumisha amani na utunzaji bora wa mazingira nyumba ya ...
Amani na haki ni matunda ya toba ya kweli na wongofu wa ndani, ishara na alama ya kumpokea Masiha ajaye na kuwabatiza watu kwa Roho Mtakatifu na kwa Moto na kuondoa uovu wote ...
Mafungamano ya urafiki wa kijamii ni muhimu sana kwani yanavuka mipaka ya nchi, tamaduni, dini, imani na mafao binafsi, kwa kujenga na kuturubisha uwajibikaji sanjari na utunzaji ...
Ubunifu ni hitaji muhimu kwa wakati huu katika mchakato wa kulinda na kutunza ikolojia, kati ya binadamu na kazi ya uumbaji. Ubora huu unanogeshwa na sera na mikakati ya Mtandao wa ...
Jukwaa la Laudato si ni jibu la kusikiliza na kujibu kwa makini kilio cha Dunia Mama na Kilio cha Maskini, ili kuwaletea watu matumaini. Hii ni changamoto ya watu kusimama kidete ...